TUJIFUNZE CANCER KWA LUGHA YA KIKWETU NA RAHISI:
karibu tuzungumze,
-Constantine Ntanguligwa(MD student Muhimbili university of health and allied sciences)
-1944hrs 5th July 2016
Kinachotokea hapo. Kama nilivyosema genes ndo zina control cells kufanya mambo yake. So hizi genes zikishabadilishwa(mutated) ndo zinaanza kuziamuru cells husika kuanza kutengeneza na kugeuka cancerous tissues.
Kinachotokea hapo ni kwamba. Inaanza kama kutengeneza mwili wake wa ki kansa ndani ya mwili wako. Inatengeneza hata system zake za blood etc etc
Kuna stage nne za kansa. Depending on level of severity. Treatment ya cancer bado ni changamoto kidogo na tatizo, hasa kwasababu cancer inajitegemea sana katika utawala na ni "resistant to suppression"(maelezo na magumu na kitaalamu kidogo hapa-beyond normal understanding). Njia pekee ni kuavoid risk factors ili upunguze hatari ya kuupata. Treatment kama mionzi, chemotherapy inatumika tu kupunguza kasi ya ukuaji wa kansa lakini si kutibu. Labda waiwahi ikiwa stage one(nimesema kuna stage nne) au kuondoka organ yote ambayo iko affected.
Ukishafika stage ya tatu na ya nne ndo tunaanza kufanya mara nyingi chemotherapy na ukishafika hatua hiyo tunakupa tu kitu kinaitwa PALLIATIVE CARE na si treatment, yani kukusindikiza ufe taratibu kifo kisichokuwa na maumivu. Haya sasa twende kwenye causes.
Cancer watalamu wanatuambia risk factors ambazo zinaweza kupelekea uwezekano mkubwa wa kupata cancer.
Hapa itategemea na sehemu husika Lakini in general ni vitu vyooote ambavyo ni foreign to the body in such a way mwili haina uhitaji navyo sana... Mfano... Smoke, vipodozi, vyakula, jua hasa kwa albino, chuma kubaki kwenye mwili baada ya ajali, mionzi etc
Lakini tujue kwanza kama una positive history ya cancer kwenye family line yako upo kwenye risk zaidi kuliko mtu asiyekuwa nayo yani Kama una ndugu kwenye ukoo ambaye aliwahi kupata cancer you are more likely kupata ukitumia hivyo vitu juu hapo kuliko mtu asiye kuwa na hiyo historia
Pia prevailance ya kansa pia inategema na race
Kuna cancer ambazo zipo zaidi africa na kuna ambazo zipo zaidi abroad Lakini kwa wanaume kansa iliyokuwa na kasi sana ni ya mapafu na prostate! Yani zinaprevail sana kwa wanaume
Kwahiyo tuwe makini na vitu visivyo vya muhimu sana hasa vile ambavyo tunaweza kubadilisha kwa kurekebisha tu life styles.
Kuhusu smoking:
Kuna aina tatu ya smokers... 1st hand anayevuta, 2nd hand anayepuliziwa na mvutaji directly, na 3rd hand yule ambaye atakuja kukaa eneo ambalo kulikua na mvutaji... 3rd hand ndo yupo na hatari zaidi akifuatiwa na 2nd hand then mwisho 1st hand
Na hasa wakina mama ndo wana face tatizo hili hasa waume zao wakiwa wavutaji ndo wanapata tatizo la 2nd hand na 3rd hand
Nanukuhu
,"4th Jan 2016 ,GLOBAL CANCER DAY: Theme this was year: ‘We can. I can'
Each year on 4 February, WHO and International Agency for Research on Cancer (IARC) supports Union for International Cancer Control (UICC) to promote ways to ease the global burden of cancer.
Cancer is the uncontrolled growth and spread of cells. It can affect almost any part of the body. The growths often invade surrounding tissue and can metastasize to distant sites.
Many cancers can be prevented by avoiding exposure to common risk factors, such as tobacco smoke. In addition, a significant proportion of cancers can be cured, by surgery, radiotherapy or chemotherapy, especially if they are detected early.
Taking place under the tagline ‘We can. I can.’, World Cancer Day 2016-2018 will explore how everyone – as a collective or as individuals – can do their part to reduce the global burden of cancer.
Key Facts:
Cancer is a leading cause of death worldwide, accounting for 8.2 million deaths in 2012.Lung, stomach, liver, colon and breast cancer cause the most cancer deaths each year.The most frequent types of cancer differ between men and women.About 30% of cancer deaths are due to the five leading behavioral and dietary risks: high body mass index, low fruit and vegetable intake, lack of physical activity, tobacco use, alcohol use.Tobacco use is the most important risk factor for cancer causing 22% of global cancer deaths and 71% of global lung cancer deaths.Cancer causing viral infections such as HBV/HCV and HPV are responsible for up to 20% of cancer deaths in low- and middle-income countries.About 70% of all cancer deaths in 2008 occurred in low- and middle-income countries.Deaths from cancer worldwide are projected to continue rising, with an estimated 13.1 million deaths in 2030."
https://www.instagram.com/p/BBYZ-K8Blil/
https://www.instagram.com/p/BBYZsjvBliI/
https://www.instagram.com/p/BBYZcvgBlhj/
https://www.instagram.com/p/BBYSVpJBllB/
https://www.instagram.com/p/BBYSVpJBllB/
https://www.instagram.com/p/BBYQr73hlh0/
https://www.instagram.com/p/BBYQOpxhlgp/
In under developed conutried like Tanzania. The only solution left is to try to avoid cancers... Avoid risk behaviours. Spread awareness to prevent it. We can generally prevent 1/3 of all cancer. Too bad it is almost uncurable. We should stop smoking and we have a right ya akumfukuza smoker aliyekaribu yako kwani unakua second hand smoker and its even more dangerous to you. Avoid being over weight... Mazoezi tufanye... Tule vizuri... Vegetables and anti cancer foods like cabbage
Karibu kwa maswali.
No comments:
Post a Comment