Tuesday, 19 July 2016

LETS SHARE EXPERIENCE MY BROTHERS AND SISTERS

UNIVERSITY APPLICATIONS ADVICE TO FORM VI 2016
Constantine Ntanguligwa(MD student Muhimbili university of health and allied sciences) 

2030hrs 19th July 2016

Karibu tuzungumze:

Dear, Form VI 2016. Before all I congratulate you all for your successful completion of studies. Wengi walitamani kufika hapo lakini hawajafika na pengine hawatafika huko mnakoelekea sasa. Welcome in the system of "study-kifanyie mtihani-kipotezee" life. Napenda kuwashirikisha experience yangu ya kuapply vyuo, mwaka jana kwa sababu ya rafiki zangu wengi kukosa vyuo walivyotaka au course wanazotaka. Ntaelezea kila step na umuhimu wake na recommendation(ushauri).

    First, you are required to know the in and out of  atleast three to five alternative courses you wish to study in the university make consultations from your recent brothers and sisters especially those who are in the same field as your dream's. We were required to fill in three to five courses in our application, in order of priority i.e, if Medicine is your first priority, put it first. If pharmacy is the second, put it second. Au unaweza kujaza, 1st priority chuo cha muhimbili, 2nd hiyo hiyo MD chuo cha Bugando.
Umuhimu: Itakusaidia sana especially kama usipofikia vigezo vya course na chuo husika, au kama una vigezo lakini chuo kimeshajaa na kuna watu wenye vigezo zaidi yako waliochaguliwa kwanza especially kama watu walio apply hiyo course wamefaulu sana mwaka wenu.
Ushauri: Ni vema kabla hujapanga priority, hakikisha ume evaluate roughly ufaulu wa watu wanao apply hiyo course ili kujua competition iliyopo. Usijekujikuta unagrade za kawaida halafu uka apply vyuo vikubwa vyote mwanzo na vyenye competition kubwa ukakosa vyote kutokana na watu wengi kufaulu sana kupita wewe. Ni bora uka apply chuo cha kawaida tu chenye ubora. Mfano, its very likely kama una DIV II mfano ya 12 PCB mwaka huu hutapata MUHIMBILI atleast for MD. Sasa hakuna ulazima wa kukiweka mwanzo then pili ukaweka UD ambacho unajua kabisa idadi ya wanaochukuliwa UD ukihesabu tu wenye DIV II inayokuidi wanajaza UD tayari. Option ya tatu utakuta wenzako wenye grade kama yako wameshajaa waliojaza 1st priority then ukakosa vyote. Ukabaki na vyuo vya kawaida sana ambavyo hukuwahi kutegemea kusoma na huenda usiridhike nacho. So kwanini mtu kama wewe usijaze tu UD, pili KCMC  then Bugando etc. Hapa utakuwa nachance kubwa ya kupata chuo kizuri.

Second: Don't lie yourself that you have already secured a certain university. Don't be so sure, be cautious(kuwa makini) and then the remaining choices you just fill in just for the sake of filling in gaps.
Umuhimu: Watu wengi sana mwaka jana wamejikuta 1st priority zao na 2nd wamepigwa chini. Sasa system inalazimika kukuchagua option ya tatu ambayo uliijaza ilimradi tu. Utasoma course ambayo hutaki so kuwa makini sana.
Ushauri:Tulia na pima ndoto zako na chagua alternative atleast 3 za kazi unayotaka kufanya au hata kama ni course hiyo hiyo vyuo tofauti tofauti ujaze kwa umakini siyo ilimradi tu.


Third: Take your time before you apply but not too much. Apply as soon as possible. The good thing is that when you save your application online, you can go back and edit and change things like order of priority or courses anytime you wish untill when its the deadline.
Umuhimu:Itakusaidia kuwa unajiuliza, hivi nilivyojaza ni sahihi kweli? utajiuliza maswali na mwisho wa siku unaweza kufanya changes za kuboresha mpaka ukapata unachohitaji na kukiota siku zote.
Ushauri:Usizubae kuapply na kusubiri tarehe za mwishoni, Itakucost sana na kukufanya ujaze under pressure na kusababisha kulipua na ita kugharimu.

Fourth: Follow your heart not who takes what. Don't apply a place because your best friend has applied the same place.
Umuhimu: haiko guaranteed kuwa kama mmepata DIV sawa kuwa mtapata vyuo sawa. Fuata uamuzi wako sababu chuo utasoma wewe awepo au asiwepo rafiki yako, trust me, chuo is a very wonderful place.
Ushauri: Kuwa realistic(muhalisia). Kama grade zako unaona kabisa kwa competition hii probability ya kupata ni ndogo, just open your heart na apply sehemu unazoweza kupata kirahisi. Don't risk kuapply kama mwenzako. Fuata maamuzi yako.

Fifth: Have confidence to fight and defend your dream and choices even if your family and parents force you to.
Umuhimu: wazazi wetu ni vema wakatushauri lakini jua kwamba enzi walizopita wao na tunazopita sisi ni tofauti sana. Wasikilize na zingatia kwa umakini yale wanayokushauri, kama kuna kitu unafikiri unajua zaidi na uko updated wajulishe na kuwaeleza vizuri na kwa upole na heshima wajue. Kama ni order za priority za vyuo au courses.
Ushauri: kuna rafiki yangu alipata Credit mwaka jana PCB. Kwa mwaka wetu ingekuwa ngumu sana kupata vyuo vya Medicine sababu watu walifaulu sana PCB. Sasa nyumbani wanakomaa asome Medicine, maskini akajaza Muhimbili mwanzo, UD, Bugando na KCMC. Akakosa vyote na hatimaye kuishia kusoma finance kitu amabcho hajawahi kuwaza. Namshukuru Mungu mwanzo alikua hana furaha but now amezoea na anaendelea vizuri sana.. Mtu huyu kama anapenda afya angeweza kusoma course nyingine nyingi tu za afya akapata lakini amekosa kwa sababu ya shinikizo la nyumbani hasa ukizingatia vyuo vilishajaa walio apply hizo course nyingine.

Mwisho niwashirikishe nilivyoapply mimi mwaka jana. Priority zangu zilikuwa (in order)
1.DOCTOR OF MEDICINE (MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES)
2.DOCTOR MEDICINE(BUGANDO-WEILS UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES)
 3.DOCTOR MEDICINE(KCMC)
4.DOCTOR MEDICINE( UNIVERSITY OF DSM)

Namshukuru Mungu nikapata Muhimbili.


I PRAY FOR YOU TO GET TO YOUR DREAM UNIVERSITIES. JUST REMEBER, NO MATTER WHERE YOU GO, YOU CAN ALWAYS GET BACK TO YOUR DREAM. THE ROUTE DOESNT MATTER USIKATE TAMAA. MUNGU AWABARIKI SANA NA KUWAONGOZA.

Consult me for queries and questions in comments section below for the benefit of others too

8 comments:

  1. thanks mr and congrats bro....i hope it will be helpfull to all formsix leaver..

    ReplyDelete
  2. thnks a lot kaka, itasaidia wengi sana hii advice, ol da best in ur studies bro

    ReplyDelete
    Replies
    1. thank you. Nitafurahi sana vijana wa Msolwa mkija MUHAS hapa

      Delete
  3. im quoting some info from jamii forums japo ya zaman...."yote kwa yote muhas bado ni chuo kizuri hasa kwa mwanafunzi anayejituma kwa sana,sema waliokuja kuiyumbisha muhas ni kuongeza intake adi wanafunzi zaidi ya 200 wakati hakuna miundombinu ya kutosha kukabiliana na ongezeko hilo imepelekea wanafunzi kusoma kwenye manzigira magumu,the same problem imeikuta cuhas kuongeza adi 150,bila maandalizi ya kutosha ila kwa sasa wamestableze kwa kiasi fulani.

    structure ya wards na hospital;mpangilio wa majengo ya hospital na ward pia ni muhimu kwa wanafunzi,majengo ya wards za kcmc na bugando ni bora zaidi,kuliko ya muhimbili yametawanyika sana.
    orgaanization ya jengo kuu la hospital ya bugando(teaching hospital)limekaa kwa mpangilio mzuri sana,ward zina space ya kutosha,department zimegawanyika kwa utaratibu mzuri very similar to kcmc.
    for my own view mkandarasi aliyejenga majengo ya bugando hospit was the best,lakini ndugu kumbuka elimu siyo majengo.
    library sio shinda kabisa,zote ni nzuri kabisa kwa kcmc,muhas na cuhas,ingawa library ya cuhas ni ndogo lakini ina kila kitu ndani(naona cuhas wameanza kujenga complex library yenye thamani ya 4bilion,rais mkapa ni mmoja waliochangia source itv last month)

    kwa upande wingi wasenoir lecture na maprofes; hapo muhas wanatisha wamejaa kama nini,kuna watu wanajiita masuper specialist muhas wamejaa kama nini,bugando nina uwakika awazidi 5,kcmc pia hawawezi zidi 10
    nb cha muhimu ni commitment ya hawa watu wengine hawajitumi kabisa kutoa material.

    student admissio;muhas kinabaki kuwa chuo pekee cha medicine tz kinachochukua wanafunzi wengi wenye div1 na kiasi fulani div2,na kwa miaka ya nyuma 90s ata div1 point9 kupata admission kaikuwa rahis.
    cuhas utapata wachache wa div1,wengi wana div2,na wachache wana3;13,almost similar to kcmc.

    hakika ukichukua wanafunzi 100 wa muhas wakasomee bugando watakuwa the best doctors ever,my point is medical student wa bugando wanashindwa kutumia advantage zilizopo kuwa the best,ni wachache walioziona hizo advantage na kuzitumia.muhas wengi wanakuwa the best kwa kujituma sana tena kwenye mazingira ambayo kwangu nayaona ni magumu sana.

    ubora wa clinical deparment;almost idara zote za clinical muhas wapo vizuri,kcmc orthopedic,ENT,urlogy wapo vizuri sana, bugando=obstetric and gynecolo na inter medicine wanatisha.

    ubora wa biomedica science;vyuo vyote vipo vizuri kwa biomedicalscience(masomo ya mwak1&2),ila cuhas washukuru sana muhas kuwasaidia lecturers na proffesor wakati wanaanza adi ivi sasa cuhas wamesimama imara na walimu chungu nzima(kumbuka bugando universty wakati wanaanza walikopy na kupaste kila kitu toka muhas)

    all of all kufanikiwa ni juhudi binafsi,
    nitarudi baade kukupa fact zaidi including intern "........kuna ukwl kiac gani hapo....???

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuna a plan for muhas 2016/2017 to 2024/2025. It aims to expand university to a new campus at Mloganzila ambapo itachukua wanafunzi 15000 kutoka 4010 ambapo hospitali iko tayari bado majengo. Hospitali hiyo itachukua uwezo wa vitanda vya wagonjwa 5000+ ambapo muhas itakua chuo cha kwanza Tz kuwa na teaching hospital. Walimu wa muhas ndo wengi wao wanasaidia kufundisha vyuo vingine. Wakaguzi wa vyuo vya afya wanatoka muhas... ndo center... hii... ingawa sipendi kujudge vyuo. But i tell u kama vile website ya chuo inavyojieleza. Its the center and Tanzania's premier for research, academic and consultancy services... A product of Muhas utajua kila kitu dunia hii kuhusu afya sababu unapikwa kisawasawa... huwezi kugraduate kama kuna vitu hujui... watakukamata tu... so utapikwa vizuri na unakuwa na shule ya kutosha ya kila aina... kuna walimu wengi mnoo kila somo...wa kila level ya elimu from single degree MD, masters.. specialists , superspecialists... professors... doctors by elimu... evrytn u knw muhas kipo... mpk some md students from america na china and other countries they come to learn some cases here at MNH... so u want anytn muhas kipo

      Delete
  4. Its true. Ndo maana mwaka huu wamepandisha grade ili waje watu wachache. Kuna board ya medical school inspectorate ya east Africa ambayo mwenyekiti wake kwa TZ anaitwa Prof Ngassapa yupo hapa MUHAS. Walipita kukagua vyuo hivi karibuni wanafunzi tukawaeleza kama serikali ya wanafunzi kuwa tupo wengi mno so wakasema kuwa watafuatilia. Tatizo la muhas si kwamba wanaamua wenyewe. Ni TCU ndo inalazimisha wengi waje...na Muhimbili ni national hospital so kuna baadhibya vyuo vinakuja kufanya mazoezi yao pale kama kairuki na IMTU sababu kuna dept zipo muhas tu. Otherwise Muhas remains to be the best university 1st bcoz doctors are competent and experienced. Doctors of all kinds. 2nd dept zote zipo na well organized. 3rd unapata experience ya kila kitu sababu referal zote Tz zinaletwa muhimbili national hospistal. Kuna kila kitu unachohitaji kama medical students. Kila aina ya exposure. But wewe umesoma govt na private so unaelewa caring ya wanafunzi wa govt na private kutoka kwa tuitors inavyotofautiana. Infact muhas u find best students so hata nguvu ya ufundishaji kutoka kwa walimu si kubwa na commitment ya wanafunzi na cooperation ni kubwa. Unapewa kila kitu na unapata uzoefu wa kila aina na exposure kwani muhas ndo center ya research mwanzo na mwisho wa kila kitu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ok bro asante sana kwa ufafanuz wako, sema kuna usemi mwngne nakia kuwa MD ya chuo kikuu cha dar se salaam ipo very weak as such hawajpanga ktka kufundsha medicine to da point dat mpka walimu wanafundsha pale part tym, wanakja frm oda vyuo, n also hawana hosptal nzur in departments kufanyia mazoezi yao....

      Delete
    2. Its true. Chuo ndo kimeanza ila baada ya mda kitakua poa kwani hata muhas ni zao la UDSM na sijajua hata kwa sasa practice hospital yao itakuwa wapi. Ila nikwambie tu vyuo karibu vyote vya dar na mikoa ya karibu kama morogoro st. Francis wanategemea lecturers wa muhas kufundisha pia. I dont recommend sana UD in terms of how ur learning will be made competent am not sure for now labda later. So Apart frm muhas i wuld recommend kcmc or bugando next

      Delete